fifa news

Glory cruise past Gold Coast

Perth Glory have moved a step closer to guaranteeing their first Hyundai A-League home final and inflicted more misery on Gold Coast United with a 4-0 win at nib Stadium.

Sevilla sack Marcelino

Sevilla have sacked coach Marcelino Garcia Toral after a poor run of form that has seen the club take just two points from their last seven La Liga fixtures.

Rohr: Gabon leave with heads held high

Despite narrowly losing out to Mali in yesterday's quarter-final, Gabon coach Germot Rohr has said that the co-hosts can be proud of giving their all and should leave the tournament with their heads held high.

Rossi: My heart and head said stay

Daniele De Rossi has said that while he was tempted to leave Roma for pastures new, the 28-year-old has signed a new five-year contract in "a choice just of the heart, but of the head".


[04 Feb 12] :: MTIHANI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI
Mtihani wa uwakala wa wachezaji (players agent) wa
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika
Alhamisi ya Machi 29 mwaka huu saa 10 kamili asubuhi kwenye
ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Kutakuwa na jumla ya maswali 20 kwenye mtihani huo, 15
yanatoka FIFA kuhusiana na kanuni za kimataifa za mpira wa
miguu na matano yatatoka TFF kuhusiana na kanuni mbalimbali
zinazotawala mchezo huo nchini.
Kwa ambao wangependa kufanya mtihani huo utakaokuwa katika
lugha ya Kiingereza wanatakiwa «« ...zaidi »»
[04 Feb 12] :: RAUNDI YA 16 LIGI KUU YA VODACOM
Mzunguko wa 16 wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa
Tanzania Bara unaanza kesho (Februari 4 mwaka huu) kwa
mechi tatu. Coastal Union itakuwa mgeni wa Moro United
kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam.
Nayo Villa Squad itakuwa mwenyeji wa Simba kwenye Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam wakati Ruvu Shooting na Polisi Dodoma
zitaoneshana kazi kwenye Uwanja wa Mabatini ulioko Mlandizi
mkoani Pwani.
Viingilio kwa mechi ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
vitakuwa sh. 3,000 kwa viti vya bluu na kijani, sh. 5,000 «« ...zaidi »»
[04 Feb 12] :: MZUNGUKO WA PILI LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL)
Mzunguko wa pili (second leg) wa Ligi Daraja la Kwanza
(FDL) inayochezwa katika makundi matatu tofauti unaanza
kesho (Februari 4 mwaka huu) kwa mechi sita.
Katika kundi A, Morani FC itakuwa mwenyeji wa Burkina Faso
ya Morogoro katika mchezo utakaochezwa Kiteto mkoani
Manyara. Kwa upande wa kundi B timu zote sita zitakuwa
uwanjani.
Small Kids ya Rukwa itacheza na Polisi ya Iringa kwenye
Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Mbeya City na Tanzania
Prisons zitaumana kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine
jijini Mbeya na «« ...zaidi »»
Kurasa [1/36] »

 

Digg!


LINKS